Kishore Kumar Hits

Dully Sykes - Hi şarkı sözleri

Sanatçı: Dully Sykes

albüm: Historia Ya Kweli


Oh, yeah
Oh, yeah
Stop, let's go
Hi, baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
(Hi) baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
D-U-L-L-Y S-Y-K-E-S (Dully Sykes)
Maliza na misifa kwenye raga mi n'natisa
Ilala, Kariakoo kote mi' nawakilisha
Hi, hi, mi' napewa hi
Tena bila shy nao wananipa hi
Ninapo sema hi, namaanisha hi
Masela ndani ya nyumba mi' nataka mfurahi
Wengine wanadai eti mimi sifai
Eti wanasema Dully mimi najidai
Ama kweli ngombe wa masikini hazai
Hata hivyo mimi bado ninawapa hi
Inapopigwa Handsome club mi' sikai
Nakwenda kuicheza wala mi' sioni shy
Candy, Kelly, Scola, Noela, Zai
Mademu wa kibongo wote wananipa hi, yo
Hi, baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
(Hi) baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
Yo, kabla sijaimba walininyima hi
Sasa ninaimba wote wananipa hi
Katika kambi yetu mnafiki hafai
Tutampa kipigo mpaka mwisho hazirai
"Hallo, Bill Gate kumbuka nakudai
Ile billioni kumi haina masilahi
Ukimuona Venture au DJ Makai
Wape pesa yangu wailete Osterbay"
(Pss, pss, pss, njoo Dully Sykes)
Ukipenda wewe niite mzee wa mikasi
Mtambulishe demu wako we' unione nuksi
Jaribu siku moja ili unipe kesi
Kwenye 18 waga mi' ni mikosi
Ninapolenga kitu sikuzote mi' sikosi
Ebu nitambulishe faster wacha ku-delay
Natongoza yoyote hata kama Mmasai
Na nikimpa hi, nae ananipa hi
Na mwanzo wa hi, mwisho wakikua hi, ye
Hi, baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
(Hi) baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
Eh-he-he-he, oh, this is the Dully Sykes
Ha-ha
Mr. Delicious
Ha, Mika Mwamba, yo, ah-ha, yo
Hapo mwisho, mwisho kabisa
Hi, baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
(Hi) baby say hi
Nakupa tabasamu pale unaponipa hi
Hata kama upo ovyo punguza nishai
Masela na mademu na niko say hi, yo
(Kama nilivyokwambia basi anaitwa Prince Dully Sykes)
(Ambaye basi nyimbo hiyo inaitwa Hi)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar