Kishore Kumar Hits

Dully Sykes - Naanzaje (feat. Maua Sama) şarkı sözleri

Sanatçı: Dully Sykes

albüm: Naanzaje (feat. Maua Sama)


Kukutesa kukupiga
Kukunyanyasa yaani naanzaje?
Sipo tayari uniache
Yaani kukukosa mie naanzaje
Vishawishi naepuka eeh
Kukucheat hivi naanzaje
Nimetoka mbali usiniache
Kukusaliti mie naanzaje?
Hey lazizi wewe weee
Sina wasi na wewe
Wali nazi na kamchele
Waniweza wewe
Ooh baby kukukataa wewe
Siwezi ooh mahaba ni wee
Ooh baby nadata na wewe
Man am crazy kwa penzi nielewe
Hey boo, boo kukutupa ndo siwezi
I want you
Kabisa sijiwezi niseme tu
Yaani nipo kama ndezi mikono juu yeah
And I love you too
Kwani wezi wa mapenzi wakubebe juu
Sijali kipenzi nitakupenda tu
Najua hawawezi kujaribu boo
Kukutesa kukupiga
Kukunyanyasa yaani naanzaje?
Sipo tayari uniache
Yaani kukukosa mie naanzaje
Vishawishi naepuka eeh
Kukucheat hivi naanzaje
Nimetoka mbali usiniache
Kukusaliti mie naanzaje?
Wacha nikupe sifa
Maana ni kama ndoto kuwa nawe
Zawadi kutoka kwa mola aah
Na vile unavyonipa
Yaani ni changamoto mama wee
Napata upepo mashallah
Hey boo, boo kukutupa ndo siwezi
I want you
Kabisa sijiwezi niseme tu
Yaani nipo kama ndezi mikono juu yeah
And I love you too
Kwani wezi wa mapenzi wakubebe juu
Sijali kipenzi nitakupenda tu
Najua hawawezi kujaribu boo
Kukutesa kukupiga
Kukunyanyasa yaani naanzaje?
Sipo tayari uniache
Yaani kukukosa mie naanzaje
Vishawishi naepuka eeh
Kukucheat hivi naanzaje
Nimetoka mbali usiniache
Kukusaliti mie naanzaje?

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar