Hujahitimu kusomaa Aah rejeea tena chuonii Ah hujahitimu kusomaa Aah rejeea tena chuonii Badoo ungalii uko nyumaa Kiwango chako duni Badoo ungalii uko nyumaa Kiwango chako duni Wenzako walikusemaa Kwa kuingia mitambonii Wenzako walikusemaa Kwa kuingia mitambonii Bado sijakuamini Kama bingwa kwenye namba Bado sijakuamini Kama bingwa mwenye namba Rejea tena chuoni Hebu uwache kujigamba Rejea tena chuoni Hebu wacha kujigamba Umelianzisha tifu watu hawatambuani Ukikaa kujisifu kujigamba mitaani Wapita ukisifuu Kujigamba gamba mitaani Hupita ukisifuu Kujigamba gamba mitaani Kaanze tena halifu Kaanze tena halifu Kwa kijiti ubaonii Kwa kijiti ubaonii Bado sijakuamini Kama bingwa kwenye namba Bado sijakuamini Kama bingwa mwenye namba Rejea tena chuoni Hebu uwache kujigamba Rejea tena chuoni Hebu wacha kujigamba Kama we bingwa wa kweli Ungefuzu mithani Uulizwapo swali Jibu hutoi kwanini Kama bingwa wa kweli Ungefuzu mithani Uulizwapo swali Jibu utoi kwanini Uulizwapo swalii Jibu utoi kwanini Uulizwapo swalii Jibu utoi kwanini Rudi tena tafadhali Rudi tena tafadhali Usifanye ushindani Usifanye ushindani Bado sijakuamini Kama bingwa kwenye namba Bado sijakuamini Kama bingwa mwenye namba Rejea tena chuoni Hebu uwache kujigamba Rejea tena chuoni Hebu wacha kujigamba Wataka sifa kupewa Kama alivyo fulani Ana hak kusifiwa Ni bingwa mwenye kifani Wataka sifa kupewa Kama alivyo fulani Ana hak kusifiwa Ni bingwa mwenye kifani Ana haki kusifiwaa Ni bingwa mwenye kifani Ana haki kusifiwaa Ni bingwa mwenye kifani. Ndio maana anagombaniwa Ndio maana anagombaniwa Watu wote hamkani Watu wote hamkani Bado sijakuamini Kama bingwa kwenye namba Bado sijakuamini Kama bingwa mwenye namba Rejea tena chuoni Hebu uwache kujigamba Rejea tena chuoni Hebu wacha kujigamba.