Kwenye mafanikio, hasidi uyachukia. Uendelee kwa lolotee... Roho inamuunguaa Atakuzungikia kotee... zaidi kukutimiliaa Hasidi ni mtu yoyotee... mwenye choyo na chuki piaaa... Najua wanichukiaaaa... ndani ya nafsi yako... Uhasidi umekujaa,, kwa unayonifanyia ...ni ndani ya nafsi mungu anavyoniokoa... Hasidi ukifanikiwaa,,, uwezekwa kwa yako moyo anaumia . Ridhiki na miminiwa bakiya na choyo chako na kunisema vibaya Zuri langu langu kulichukia hiyo mbaya, mbaya roho yako Utakonda kwa roho mbaya na dawa kwako haipoo Atakutibu nani?