Kishore Kumar Hits

Sabah Salum - Hodhi La Mahaba şarkı sözleri

Sanatçı: Sabah Salum

albüm: Hodhi La Mahaba


Moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
Moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
Moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
Moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
Kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
Kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
Kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
Kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
Habib kanitawala kanitwalaaahh
Kanijaa fuwadin kanijaa fuwadini
Habib kanitawala kanitwalaaahh
Kanijaa fuwadin kanijaa fuwadini
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Kwangu alijitokeza,Nuru kutoka angani
Kwangu alijitokeza,Nuru kutoka angani
Kwangu alijitokeza,Nuru kutoka angani
Kwangu alijitokeza,Nuru kutoka angani
Mapenzi akayakuza ahadi akabaini
Mapenzi akayakuza ahadi akabaini
Mapenzi akayakuza ahadi akabaini
Mapenzi akayakuza ahadi akabaini
Milele atanitunza atanitunza
Na katu hato nighinina katu hato nighini
Milele atanitunza atanitunza
Na katu hato nighinina katu hato nighini
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Macho yake yanasema anienzi kwa thamani
Macho yake yanasema anienzi kwa thamani
Macho yake yanasema anienzi kwa thamani
Macho yake yanasema anienzi kwa thamani
Jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
Jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
Jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
Jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
Penye jua la kuchoma la kuchoma
Huwa kama barafuni huwa kama barafuni
Penye jua la kuchoma la kuchoma
Huwa kama barafuni huwa kama barafuni
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
Kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
Kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
Kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
Kwangu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
Kwangu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
Kwangu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
Kwangu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
Mwenyewe nimemshiba nimemshiba
Sighair Abadan sighair Abadan
Mwenyewe nimemshiba nimemshiba
Sighair Abadan sighair Abadan
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nimezama nimerowa nimerowa
Kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba
Nishatua nimepowa nimepowa
Mwenyewe nimemshiba

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar