Siku uliyotokeza roho umeichukua Macho yanielekeza kwako wewe msifiwa Siku uliyotokeza roho umeichukua Macho yanielekeza kwako wewe msifiwa Na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua Na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa Jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwaaah Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa Mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa Mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa ♪ Nimeshatua mahali Mapenzi nishaibua Bora haisomi hali Muhibu ukanielewa Nimeshatua mahali Mapenzi nishaibua Bora haisomi hali Muhibu ukanielewa Minampenda kikweli watu woote wanajuaa Minampenda kikweli watu woote wanajuaa Twaendelea wawili soote tushapendezewa Twaendelea wawili soote tushapendezewa Twaendelea wawili soote tushapendezewa Twaendelea wawili soote tushapendezewa Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana Mawimbi yameshamiri upepo umeumana Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana Mawimbi yameshamiri upepo umeumana Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana Kwa vyovyote mi tayari Tena wataumwa sana Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana Kwa vyovyote mi tayari Tena wataumwa sana ♪ Nyoyo tumezifungua Wenyewe twajizuzua Wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua Nyoyo tumezifungua Wenyewe twajizuzua Wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua Mimi na yeye murua kwa waridi na vilua Mimi na yeye murua kwa waridi na vilua Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa Tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana Mawimbi yameshamiri upepo umeumana Ufukweni mwa bahari mikono tumeshikana Mawimbi yameshamiri upepo umeumana Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana Kwa vyovyote mi tayari Tena wataumwa sana Kwa vyovyote mi tayari Hata tukijulikana Kwa vyovyote mi tayari Tena wataumwa sana