Mkosefu wa fadhila - sabah salum Mkombozi Records Ooooooohhhh ooooohh Aaaaaaaaah Ooooooohhhh ooooohh Mmmmhh mhhhhh Ooooooohhhh ooooohh Aaaaaaaaah aaaaaah Mmmmhh mhhhhh Mmmmhh mhhhhh Ulikuja limbukeni hapo tulikubeba Siku zoote la ubani halitibiki kwa vumba Oooohhh Ulikuja limbukeni hapo tulikubeba Siku zoote la ubani halitibiki kwa vuumbaaa Hukujali ikhisani na kila la matwilabaa Usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa Oooooohhh Hukujali ikhisani na kila la matwilabaa Usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa Chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa Ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba Oooooohhh Chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa Ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba Mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo Ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako Ooooooohhhh ooooohh Aaaaaaaaah Ooooooohhhh ooooohh Mmmmhh mhhhhh Ooooooohhhh ooooohh Aaaaaaaaah aaaaaah Mmmmhh mhhhhh Ewe usie jihisi mbio zako hupumuii Nawala hujitikisi nifungapo hufunguiii Ooooohh Wewe usie jihisi mbio zako hupumuii Nawala hujitikisi nifungapo hufunguii Napunda hawi farasi usijifanye huelewii Kila tukificha kovu kiumbe haufadhilikii Ooooh Napunda hawi farasi usijifanye huelewii Kila tukificha kovu kiumbe haufadhiliiiikii Ni kama tambara bovu huwa halisarifikii Tabia ya nazi mbovu uvundo haubandukii Ni kama tambara bovu huwa halisarifikii Tabia ya nazi mbovu uvundo haubandukii Mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo Ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako Ilo unalotarajii ni shida jua haliipooo Na kilo mbali hakiji kisichokuwa si chako Kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako Ooooohh Kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako Unachokitafuta hukipati kwangu Unajisumbuaaaa Mungu ameshanipa ridhikii yangu Hutonifikiaaa Unachokitafuta hukipati kwangu Unajisumbuaaaa Mungu ameshaniipa ridhikii yangu Hutonifikiaaa Kwa vishindo hunipati sio shida zangu Unajisumbuaaaa La Mungu hulifuti nina fungu langu Hutonifikiaaa Kwa vishindo hunipati sio shida zangu Unajisumbuaaaa La Mungu hulifuti nina fungu langu Hutonifikiaaa Tena usijisumbue sio levo yangu Unajisumbuaaaa Niache nipumue we si mke mwenzangu Hutonifikiaaa Tena usijisumbue sio levo yangu Unajisumbuaaaa Niache nipumue we si mke mwenzangu Hutonifikiaaa Ayaaaa weeeeee Mwanangu mwenyewe thabit abduli