Kishore Kumar Hits

Goldwash - Why Hide It şarkı sözleri

Sanatçı: Goldwash

albüm: Episode


Ey ohooo ayoooo
Nilianza kama moja pili nikusubili mama ahaa mi ndo taa umenizima mshumaa
Usiku silaliii nawaza sarali usiku silaliii nisake sarali mama ahaa nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani
Nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa
Ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua
Tena umezuka na utani et napungua kwa wangu majirani kisa umekimbia ayy unanipa mawazoo mama ohoo usiku silali unanijiaga ndotoni aahh nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani
Nilikwamini mwanga gizani uwe na mimi tukiwa chumbani mamaaa
Ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingali mapema ningetambua kwamba hiki sio chema nikagundua ingalimapema ningetambua kwaba hiki sio chema nikagundua

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar