Kishore Kumar Hits

Quick Rocka - Bishoo şarkı sözleri

Sanatçı: Quick Rocka

albüm: Bishoo


Pesa pembe la ngombe ukiwa nayo haijifichi
Nakula ujana nakula ujana
Maisha man na muziki
To make alot and spend some
Kupona kuwasha switch
Jogoo la shamba is time to waste
Kaa pembeni hata huwiki
Switcher ndo jina langu so nkiswtch data ahiii
Team kupoa no madoa
Was born to shine ahiii
Narol na mtoto mkali yeeee
Namwita shemeji
Si wa kisasa kivile
Wala sio wa kienyeji
Handsome najijua sijitaji kama ommy
Ladies tel me i love that we hauoni
You sound like who i sound like me
Ndo maana kunicopy ni ngumu you see
Switch style and swag bado raka yuleyule
Naumiza naminya nawatusi mulemule
Hitikadi za moto sio baridi
Track kali ikibidi zidisha sana juhudi
Ongeza sana ufundi tukeshe kama mabundi
Tukila nyasi bila was kma det na didy
Kama jesh lilokamilika
Through ups and downs ila mwsho tutafika
Mbeya city wakilisha raka aka swisher
Vuruga vuruga dude zima tutashika
Wanasema mi bisho
Yes bisho haswa yaah bisho haswa
Wananiita mi bishoo
Yes bishoo haswa mi ni bishoo haswa
(Futa vumbi kila baada ya saa
Bishoo haswa
Looking fresh all day nigaa) ×2
Mi ni bishoo haswa
Nimeanza kuonwa kwa tv kabla hom sjanunua
So ukiniona kwa tv usidhani kama unanijua
Naitwa young d asante kama unanijua
Na uhakika round hii hadi haters wananijua
Ngoja kwanza nikwambie
Mziki ulivontoa mbali
Toka hard-core mpka leo naitwa sukari
Toka enzi baada ya show promoter haonekani
Toka sjui kuhusu promo
Maana logo haijulikani
Ila nashkuru Mungu alinipa kila nilichotaka
Japo sikuishi

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar