Femi, ndo ule Mejja, ndo ule Mejja Si ulikuwa unadai kuchapiana naye Ishia, ishia, ishia ♪ Okonkwo pole nimekuja ghafla (usijali) Ni vile we hukuwa umenibamba Aah, Femi One pia kwangu we ni msoo Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya 'Ligi Soo', eeh Nakupenda manze we hukuwa mhumble (asante) Legend, kwangu we ni icon Aah, stori za icon kwanza weka mbali Femi One mi hukuwa nimekutamani Eeh, Okonkwo umeanza kunichocha (ah, zii) Nishow ni wapi uliniona Aah, Femi One (eeh), we unibamba Kwa Instagram nikicheki izo mapaja, ah Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler Iko haga yako iko Naipenda ka mke nyumbani na mwiko Mejja umeanza kuniflirt, aah Unataka kunikula kama plata Hiyo kifua nataka kuichambua Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua, ah Kidesign umeanza kunibamba Nikikupea usiende kutangaza Ah, hiyo ni siri (wazi) ka pin number Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka Haina noma leo utanikula Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (aah) Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler Napenda machali wako na swagger (okay) Nikicheki fashion yako hapana Femi One hao machali looku looku Ni looku tu lakini hawana kakitu Ah, nataka kurombosa hadi chini Ah, nataka kuikota huko chini Ah, napenda kupakua nikiwa juu Ah, siteti, napenda hiyo view Fungua bonnet (okay) toa screw (Aha) Mbona unanidai na usiniambie uongo Ah, nakudai juu umetoka ghetto Na we ni manzi hardcore manzi mathongo Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana) Nikikupea utawezana? (Nitawezana) Manze Femi One nikikupata Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah Femi Uno Mtoto wa Hadija, haha