"Alikuja akanipush akanipush Hadi nikaona acha niende ni- Niget tu ball yake Sa kuget ball ati nimeshakuja Nimemwambia niko na ball Huyo boy nakwambia aliniruka Kipetero Kiyesu" Chali ngori anadai wachana na party cup Told me that nitakaa supuu with a baby girl So nikajipa na mimba akanipachika Kisha akanituka Kipetero Kiyesu Sa nikipiga namba mteja hapatikani Utadhani high jump na yeye olympian Nikiwa napanga kumuonyesha kwetu Aliniruka tu kipetero Kiyesu Naishi pale Kasa na hawa mapacha 5 years bila the dad na sijamhata Wakivunja kitu niulize nani anachapwa Wanarukana tu kipetero kiyesu Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu Wakaapa wakishapata mamlaka Mahitaji wananchi watapata Waliposhinda ni scandal juu ya sakata Ruka mwananchi kipetero kiyesu Waliungana ati hiki chama chetu Ndio tutatumia kujenga taifa letu Lakini siasa si watu nyemelea tu Kisha kurukana kipetero kiyesu Wakirudi huku tena piga debe Tunawapea mizigo zote wabebe Watazilipa hata madeni kwa pede Kwa ballot twarukwa kipetero kiyesu Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu Athletes hujidai wazalendo Kataa kuchange citizenship kuget doh Lakini juu ya hii siasa na magendo Wanatokwa tu kipetero kiyesu Wasanii wanamake ngoma na bidii Toka manewcomer mpaka wenye jina biggy Ngoma ikiblow unadhani pesa ni mingi MCSK ni ka Petero kwa Yesu Mcees hutaka collabo na picha Wanabatizwa wanaoshwa wanafichwa Wakiambiwa Femi One alikuzika Wanakanaga tu kipetero kiyesu Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa Refa (Referee) Refa (Ona referee) Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu I'm in trouble, I'm in trouble Beth rack on the door