Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber (Kaka Empire is the Lifestyle) Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber (RiccoBeatz Mr 808) Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Pamba inabambaga kamfuko kakiwa na doh Jaba inakamata madoba zikiwa kwa form Hepi inabambaga manoma zikiwa kwa floor Reggea inakamata warazi wakiwa mandom Weka "Dont disturb" kwa mlango Mbili mbili ya wawili wawili kwa tango Side yangu ya left watu wako right angle Mateso ni ya beberu, mateso ni ya mama kambo Give them tukisepa ju mabanga wako area Curfew inakatsia sherehe na mamorio Kesho ni wikendi tunashikisha kisheria Kila mtu pewa pombe ka chanjo ya polio Na iende sana (Eeh) Donjo sherehe inadonjo Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo Donjo sherehe inadonjo Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo Shilalalala bomb bomb shile Pedi analala sana mbona anadelay Kwani hajui Femi niko na form today Nimepull up na mbogi za Kasa na za Kile Lakini mbogi moja itarudi home na mkia Mbogi ingine itarudi na stori za kuskia Kwani jana kuliendaje mi siwezi kuambia Mi nikicarry mizinga si watu hukaribia Ni sherehe tunakula ka huna doh kula vako Rotejo mi hungojaga nganya noma kwa Sacco Before nifike Mwiki mi hushika manjiva Sunton Niko Milan nimepiga ka manzi wa uptown Na iende sana (Eeh) Donjo sherehe inadonjo Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo Donjo sherehe inadonjo Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Donjo sherehe inadonjo Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo (ABH SOUND Baby)