Balance, fanya kama unaloose balance (Kaka Empire is the Lifestyle) Lose balance fanya kama unaloose balance (Bern Music) Flossin Mauwano vile nimejaza kwa streets Vijana na wababa wananitaka kwa sheets Class imepanda siku hizi nalipaga fees Nafanya hawalali wanakosa usingizi Freeze icecubes ndani ya glass yangu ya Whiskey Kachoma ka wikendi tukishasukuma wiki Manoti mashilingi ka Ginimbi na siringi Noma sana puliza firimbi Kachumbari haipashwi moto, haitaki joto Siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto Luku safi safi bila filter kwa mafoto Tunakesha kama waumini kama popo Haipashwi moto, haitaki joto Siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto Luku safi safi bila filter kwa mafoto Tunakesha kama waumini kama popo Check imebalance Check haijabounce imebalance Leo ni kama nitaloose manners Kata maji mpaka niloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Ka biz ya biz niko busy Box yako kuingia mimi never easy Roho yangu jaribu kuiba choma mwizi Chunga glass wanaweza seti vitu zinafanya ufeel dizzy Back to the mood, leo nina mpango ya kumarinate a dude Fanya tabia mbaya mi nafanya a feel good Femi fanya somebody son afeel cool Cool, cool like a cucumber Nawaroga na madoba kama mkamba Steam bado zinazidi kupanda Mpaka juu anastand you can't understand If you stood under Like a cucumber Nawaroga na madoba kama mkamba Steam bado zinazidi kupanda Mpaka juu anastand you can't understand If you stood under Shawn, check imebalance Check haijabounce imebalance Leo ni kama nitaloose manners Kata maji mpaka niloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Loose balance fanya kama unaloose balance Kikombe nataka kulewa leta kikombe Leta kikombe nataka kulewa leta kikombe Kikombe nataka kulewa leta kikombe Leta kikombe nataka kulewa leta kikombe