Oya Bern man Kwanza nipe snare na treble na baze Leo steam zinashika ka veve ya base Been lit kama mix ya vela na gate Nilishapanda ile nganya wanangoja kwa stage Nimetoka Mwiki imeenda very far Na mahali imefika inachuna vile inafaa Kaende kaende gear five Hakuna kitu inaweza fanya Shiko wareverse Miaka saba si mob so mi siwezi kustop Since day one vichwa kazi kubob Na bado napunch kujo zinadrop Bidii yangu inafaa kupewa rondo wafloss Ama page kwa Forbes Top 30 under 30 Niko na seat kwa table sitaki hizo mabakshish Bad bitch nyi mmekam jana ma papi So sifai kutoa mshipi mtachapwa na patipati ka watoto It was all a dream I remember Flow HBR mistari zingine mwenda Sai niko zoom nabonga na mabazenga Na maleakers ni wale wale walionilenga So ukicheki naringa saa zingine inabidi You saw where I came from so you woun't believe it Day one na Rabit, Day one na Denno On the road to riches na tumechachisha freno So you think am done uko rong mi ni Femi So sick stay far don't come near me Monster mi nikishika nachinja ua Na nimejipin ukileta zogo nakufyatua Niko greatful for greatness Thick skin na chunde bado ni stainless Yeah ni salamu tu za rap, so sitasema mengi Na kwa hayo machache si the album is ready