Somebody's daughter me hukuita fafa Cheki vile we umenifikisha far Umenibariki sana vile vile inafaa Jehovah we ndio Adonai me ndio my God Somebody's daughter me hukuita fafa Cheki vile we umenifikisha far Umenibariki sana vile vile inafaa Jehovah we ndio Adonai me ndio my God Giza liki pass over me Dua nitapiga me sitakoma me Naju uko bado nami Wewe ndio mwene nyaga Adonai Giza liki pass over me Dua nitapiga me sitakoma me Naju uko bado nami Wewe ndio mwene nyaga Adonai Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai Umebutter my bread for days Usingizi nikiskia sijawai kosa baze Kinenge nikiskia sijawai kosa plate Vile naweza repay daily nacontemplate Kwanini nisichachishe Vile we hucome through visufficient Candle nikizima unagrant wishes Na maoffence zikicome uko kwa defence Unani defend Hujawai niweka on hold Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol We ndio unanichunga mimi mwana kondoo Mimi mwana kondoo Hujawai niweka on hold Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol We ndio unanichunga mimi mwana kondoo Mimi mwana kondoo Giza liki pass over me Dua nitapiga me sitakoma me Naju uko bado nami Wewe ndio mwene nyaga Adonai Giza liki pass over me Dua nitapiga me sitakoma me Naju uko bado nami Wewe ndio mwene nyaga Adonai Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai Vitu ka pesa na fame zisifanye mimi niku ignore Tangu uni form umenitolea form Nikirudisha mkono we bado ndio unanigive more Nikiwa low we bado ndio nani give hope Unicharge Jah jah, na nguvu zingine Ajab Alfa na Omega hakuna mwingine Above Yeh, tell me who can do what you do Si amini binadamu I believe in wewe tu, juu Hujawai niweka on hold Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol We ndio unanichunga mimi mwana kondoo Mimi mwana kondoo Hujawai niweka on hold Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol We ndio unanichunga mimi mwana kondoo Mimi mwana kondoo Somebody's daughter me hukuita fafa Cheki vile we umenifikisha far Umenibariki sana vile vile inafaa Jehovah we ndio adonai me ndio my God Somebody's daughter me hukuita fafa Cheki vile we umenifikisha far Umenibariki sana vile vile inafaa Jehovah we ndio Adonai me ndio my God Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai Adoo Adoo Adonai, Adooo Adoo Adoo Adoo Adonai