Kishore Kumar Hits

Octopizzo - Zikishika şarkı sözleri

Sanatçı: Octopizzo

albüm: Zikishika


Check check check
8 town 8 town
Classy classy
Pizzo da
King and know it
King and know it
King and know it
Nikirudi cheki capital
Toka ghetto mi si babi joh
Rada chafu buda kaa rido
Gang gang itaku carry doh
Bob bob ita collymore
Kokohora mimi ni horrible
Niko mbele cheki horizon
Lamba lolo pewa lollipop
Bob Marley tuko corridor
Wanyama wengi cheki pori bro
Pizzo da king ngori yoh
Fuck popo mi ni radicle
Ambia pastor a bow down
Nikitema mi ni cardinal
Mdogo mdogo hii ni cardio
Between mimi hii ni Opiyo
Massu tozalaki kotambola eeh
Tozalaki misato na groupe
Zikishika wika wagwan (Eeeh eeh eh eh)
Zikishika wika wagwan (Zikishika zikishika zikishika)
Zikishika wika wagwan (Wika wika wika wika wika)
Zikishika wika wagwan
Chura mbaya wewe ni tadpole
Sura mbaya lakini debe joh
Ramadhan shingo body lock
Kura iba lakini sembe no
Niki pull up toka nduthi yoh
Chini ya maji pewa sushi mob
Black china anataka kunirob
Niko mbele yao sana
Wanipati hata dawa
Bob Marley na Versace
Pewa moshi miti dawa
Mko maji kila siku
Mimi juu mi shower
Kabla uoge kwanza manga
Stay fly ni mabawa
Niki land wana gwaya
Massu tozalaki kotambola eeh
Tozalaki misato na groupe
Zikishika wika wagwan (Eeeh eeh eh eh)
Zikishika wika wagwan (Zikishika zikishika zikishika)
Zikishika wika wagwan (Wika wika wika wika wika)
Zikishika wika wagwan
Vintage hii ni kaya
Zako sawa zangu mbaya
Daresalaam mi ni London
Paris fashion cheki pattern
Zikishika wika wagwan
Kiti shika kawe wanywa
Fiti sima kawe wala
Nchi nzima mi na tajwa
Light skin we ni walach
Hii ni jela skiza barz man
Seti vela shika lighter
Mi kushoto mirror right man
Chini ya waba mi ni titan
Saa mbaya cheki timeline
Nikichana mi makosa
Mi mnyamwezi bila Cosign
Niko wavy zenyu low tide
Hamniwezi soma profile
Daily booked mi ni locker
Cheki boot zangu lowCuT
Zikishika wika wagwan
Zikishika wika wagwan (Zikishika zishika zikishika)
Zikishika wika wagwan
Zikishika wika wagwan (Zikishika zishika zikishika)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar