Kishore Kumar Hits

Octopizzo - Nataka şarkı sözleri

Sanatçı: Octopizzo

albüm: JUNGLE FEVER


Pizzo De, 8town
Mmm a a ahh
Msupa nataka mmm a a ah
Najua ntapata mm a a ah
Na nikipataa mmm a a ah
Najua ntawasha
Soma lebo Hii barua Pepe
Ile kitu ndio nataka bebe
Mboga safi nibeba sembe
Hii harusi Chanda Shika pete
Wedding wedding wedding
Supercharged niko ever ready
Energizer nikiona pedi
What's my name mi apana shady
Lady lady lady
Kuja shower na ubebe kiti
Pizzo De baby seti Fiti
It's a match kila kitu Fiting
Tinder tinder tinder
Nawa winder winder winder
Shida shida shida
Hadi Sasa bibi sina
Mmm a a ahh
Msupa nataka mmm a a ah
Najua ntapata mm a a ah
Na nikipataa mmm a a ah
Najua ntawasha
Nina shida nishadi
Hio figure ndio nawinda
Nikiipata ntaifinya
Ukiikaza utanisinya
Ey pizzo de king and you
Make you a queen & Ma baby boo
Make you the mama of my babies too
Walk you a mile in my babies shoes
Ouh baby karibu ghetto wharedu baby
Uh baby Jungle fever panda miti baby
Bus Stop, ingiza ndani mi ndio boo baby
Don't stop ndio utawika nikiwa ju baby
Zimaman, Sinsimer man
Mahindi choma si sima man
Nikisimama,Nikiss umama
Nimawai ota na chidima man
Thitama man
Zima lights.
Mmm a a ahh
Msupa nataka mmm a a ah
Najua ntapata mm a a ah
Na nikipataa mmm a a ah
Najua ntawasha
Eh rada safi msupa,
Karibu ghetto namba nane
Mmm aaah
Mmm aaah

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar