Kishore Kumar Hits

Bfbc - Kassim şarkı sözleri

Sanatçı: Bfbc

albüm: C'est rien c'est la rue, vol. 3


Sikiliza sindi, nikuelezee eh eh
Ya moyoni nikutoe wasiwasi
Sikiliza Kipenzi mwenye sura Ya upolee
Nibembeleze Ili nisiwe na wasi
Sikiliza kisura mwenye sifa Ya upole
Mwenye mapenzi hi hi Ya kweli kwangu
Kama shida mummy (Kama shida mummy)
Basi vumilia shida wewe
Kama njaa sote tunashinda mama
Kama shida aah
Basi vumilia shida wewe
Kama njaa, njaa tunashinda
Haiwezekani (haiwezekani)
Nikuache wewe
Unaenipendeza niende kwa mwengine
Haiwezekani hi hi nikuache wewe
Unaenipendezaa niende kwa mwengine
Kidogo chetu mimi na wewe
Kikubwa cha barakuu
Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka roho juu
Kidogo chetu mimi na wewe
Kikubwa cha barakuu
Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka roho juu
Amini wewe ndi wangu wa pekee
Niamini basi mimi
Niamini basi mimi
Niamini basii
Usije niacha mpwekee
Nikaikosa nafasi kwako
Nikaikosa nafasi mimi
Nikaikosa nafasi
Basi twende kwetu nyumbani
Wakakuone wazazi nyumbani
Basi twende kwetu chukua na
Ikibidi tutaoana
Nivumilie
Nivumilie mummy
Tabu zitakwisha baby
Tabu zitakwisha sijachoka kutafuta
Nivumilie
Nivumilie mummy
Tabu zitakwisha baby wewe
Tabu zitakwisha sijachoka kutafuta
Haiwezekani (Haiwezekani)
Haiwezekani
Nikuache wewe, Unaenipendezaa
Niende kwa mwengine (Niende kwa mwengine)
Haiwezekani
Haiwezekanii
Nikuache wewe (nikuache wewe), Unaenipendeza (unaenipendeza)
Niende kwa mwengine (Aya wewe)
Kama shida na njaa
Tabu na njaa
Shida na njaa
Kama tabu na njaa, Yote majaliwa ah
Kama shida na njaa
Tabu na njaa
Shida na raha
Kama tabu na njaa, Yote majaliwa
Nivumilie
Nivumilie mummy
Tabu zitakwisha baby
Tabu zitakwisha sijachoka kutafuta
Nivumilie
Nivumilie mummy wewe
Ewee mummy wewe
Ewee maa baby
Instrumental.
Big time production
Komoliee Komoliee
Manza bay bay
Manza bay aah
Instrumental.
Haiwezekani (Haiwezekani)
Haiwezekani
Nikuache wewe, Unaenipendezaa
Niende kwa mwengine (Niende kwa mwengine)
Haiwezekani
Haiwezekani
Nikuache wewe (nikuache wewe), Unaenipendezaa (Unaenipendeza)
Niende kwa mwengine (Aya wewe)
(End)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar