Kishore Kumar Hits

Groupe Adorons l’Eternel G.A.E.L - Sita Sumbuka şarkı sözleri

Sanatçı: Groupe Adorons l’Eternel G.A.E.L

albüm: Je suis, Vol. 1


Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
Ni baba yangu kabisa
Anachukuwa mizigo zangu
Nyakati zote za mwendo
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
Ni baba yangu kabisa
Hawezi kunisahau mimi
Ingawa akijificha, sijaiona
Sijaiona (nyingine siku)
Nyingine siku (ah, na jana)
Na jana imetoweka (na leo Mungu)
Na leo Mungu (na leo Mungu)
Anazijuwa (Baba, unazijuwa)
Hitaji zako na zangu (oh, sijaiona)
Sijaiona (nyingine siku)
Nyingine siku (ah, jana)
Na jana imetoweka (na leo Mungu)
Na leo Mungu (Baba yangu anayojuwa)
Anazijuwa hitaji zangu)
Hitaji zako na zangu
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
Anishibisha neema
Anipa yote (ana tchukuwa)
Yanifaamu (mizigo yangu)
Kwa roho zangu na mwili
Mauwa yote anayavika
Na ndege zote za anga
Wanapokea chakula chao
Pasipo shamba na ghala
Sijaiona (sijaiona)
Nyingine siku (na jana ime')
Na jana imetoweka (na leo Mungu)
Na leo Mungu (anazijuwa)
Anazijuwa (hitaji zako)
Hitaji zako na zangu (ooh, sijaiona)
Sijaiona (sija')
Nyingine siku (na jana ime')
Na jana imetoweka (na leo, na leo)
Na leo Mungu (anazijuwa)
Anazijuwa (hitaji zako)
Hitaji zako na zangu (zako)
Ninafurahi katika Bwana
Na kama ndege, naimba
Najuwa kwamba nyakati zote
Babangu ananitunza
Ninafurahi katika Bwana
Na kama ndege, naimba
Najuwa kwamba nyakati zote
Babangu ananitunza (oh, sijaiona)
Sijaiona
Nyingine siku (na jana ime')
Na jana imetoweka (na leo Mungu)
Na leo Mungu (anazijuwa)
Anazijuwa (hitaji zako)
Hitaji zako na zangu (sijai')
Sijaiona
Nyingine siku (na jana ime')
Na jana imetoweka (toweka)
Na leo Mungu (anazijuwa)
Anazijuwa (hitaji zako)
Hitaji zako na zangu (sijai')

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar