Mmh mmh, mmmh Sijuwi nitete eje Kwani maneno ya mimenipita aah Nguvu na ukubwa wa pendo lako Huwezi kupimwa Hujuwa niya zangu uuh Baba hujuwa uga wangu ouuh Maneno yangu machache kukueleza Upendo wangu kwako Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbia Sikiya nyimbo ya upendo ooouh Wa mtoto uliye mkombowa aah Nita chukuwa maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikia roho yangu ♪ Aaaah aah aaah Aaaah aah aaah ♪ Sasa kama mvuwa Maneno yangu yange tiririka aah Ninge kuwa na miguu mikononi mwangu Singeweza kusimama Ila ndani ya roho yangu ooouh Baba hujuwa yote eiiii Ahsante kwa maisha ukweli njiya Baba ubarikiwe Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbia Sikiya nyimbo ya upendo oooh Wa mtoto uliye mkombowa aah Nita chukua maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikia roho yangu Sikiliza roho yangu baba Moyo wangu hukuimbia Sikiya nyimbo ya upendo oooh Kwa mtoto uliye mkombowa aah Nitachukua maneno yangu mabovo Kutangaza ukubwa wako Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya roho yangu mmh Kwa kweli siwezi Kusema chochote Baba sikiya roho yangu Baba baba Ba aaaah aah ba, baa aah aaah ba Ba aaaah aah Baabababababa Kweli siwezi Kusema chochote eii Baba wangu Babaaa Kwa kweli siwezi Sema chochote Sikiya Roho Yangu