Kishore Kumar Hits

Chege - Najiuliza - Rmx şarkı sözleri

Sanatçı: Chege

albüm: Runtown


Najiuliza nimpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Naiiuliza numpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Kinanda nitapiga uweze kutulia
Hata ukienda mbali uweze nisikia
Moyo wangu juu juu
Pressure inashuka na kupanda
Mama anataka wajukuu
Oh, baby i love you
Sioni sababu ya kuishi mwenyewe
Bibi na babu ndo mfano uelewe
Salima, Salima, Salama
Eh yerere yerere
Najiuliza nimpende nani Salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Najiuliza nimpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Ole-ole-le-le, ole-le-le
Wivu mapenzi jicho siwezi fumba
Kwako siwezi upepo umenikumba
Usije ukanyanyasa moyo
Mwenzako nimeumbwa na uchoyo
Sidanganywi kwa nyumba na toyo
Nakupa moyo wangu (sikuachi)
Mama moyo (sikuachi)
Roho (sikuachi)
Nakupa peke yako (sikuachi)
Ni ni wako (sikuachi)
Na wa peke yako (sikuachi)
Wa ubavu wako
Najiuliza nimpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Najiuliza nimpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Mapenzi usije changanya changanya
Ukazuga ukanidanganya danganya
Tunza roho yangu chochote nakupa
Nile peke yangu nibaki mifupa
(Sitoweza) Kukuacha
(Sitoweza) Kurudi Mombasa
(Sitoweza) Nimenasa
Sipigi nang'ata
Baby your my sweetie apple
Baby oh, oh
Nitakuja tuishi keko
Mwenzio oh, oh
Salima Salima Salama
Eh yerere yerere
Najiuliza nimpende nani Salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama
Najiuliza nimpende nani salima
Ili mmoja arudi nyumbani salama

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar