Instrunmental Nafsi imeyapokea aahhh Yale mema yote uliyonishushia Na macho yameshuhudia Si kwa wema waaangu niliyokutendea Ila Nashukuru Nashukuru Nashukuru Nashukuru Kabla kiza kutanda Nazileta sifa yarabi nikupambe Majivuno kujigamba Naviweka kando natubu unisamehe Unisamehe Naja kwako maulana Unisamehe Naponzwa na damu ya ujana Unisamehe Si wanadamu umetuumba kukosea Unisamehe Si wanadamu umetuumba kukosea Unisamehe Napiga goti mja wako Bado sija kamilika eeeehhhh Yeye Na ndoto zangu zipo kwako Wewe ndio wakukamilisha wewe Imani inanituma Wewe ndio baba uliobakia wala hakuna mwingine Nilikuweka nyuma Kwa starehe za kidunia mola wangu nisamehe Majaribu ya kidunia yanatuchanganya Mpaka tunakusahau uliotuumba bwana Mengi tumekufanyia ni mabaya sana Lakini bado unatulinda usiku na mchana Eeeehhheeeee Narudi kwako mtoto wako Nisamehe Kuzifuata tena dua zako Kufunga na kusali Ili kuipata pepo yako mmmh Naja kwako maulana Unisamehe Naponzwa na damu ya ujana Unisamehe Si wanadamu umetuumba kukosea Unisamehe Si wanadamu umetuumba kukosea Unisamehe