Kishore Kumar Hits

Whozu - Shida Ndogo Ndogo şarkı sözleri

Sanatçı: Whozu

albüm: Shida Ndogo Ndogo


Yeeh!
Unamjua Dingoo
Too Too Too Much Money
S2kizzy baby
Sina Shida Ndogo Ndogo
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina(Ndogo Shida)
Huna cha kufanya njoo kwangu nikupe mishe
Umeshinda njaa kaa nami nikulishe
Nitalipa deni nikukopeshe ukalipe
Wana pesa chafu waje kwangu wazisafishe
Asante Mungu kwa baraka unanielewa
Nimesha waacha sio level zao tena
Ziwe mbivu ziwe mbichi nazimenya
Ndo isha kwisha sifanani nao tena
Nimeridhika ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange mjomba msikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa manguli
Sina Shida Ndogo Ndogo
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo (Too much Money)
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Sasa ni muda wa kuvimba vimba Na mabunda mi simbazi
Change change ni za kwenu nitake radhi
Najilipaga kwa siku siku sio kwa mwezi
Now you know mambo yangu top
Kwangu kutesa ni kwa zamzamzam Ishiwa pesa ukose hamhamham
Pata pesa ni masham sham sham Oya mambo ni bam bam bam Oooh
Shida zako tupa huko Zikiisha niite
Kwenye mchezo bado mdogo Naomba usinitishe
Nimeridhika ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange mjomba msikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa manguli
Sina Shida Ndogo Ndogo
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo (Too much Money)
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo (Shida) Msije shtuka mkiniona
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina(Alelelilalila)
Sina shida ndogo ndogo sina
Sina shida ndogo ndogo sina
Instrumental

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar