Kishore Kumar Hits

Whozu - Huendi Mbinguni şarkı sözleri

Sanatçı: Whozu

albüm: Huendi Mbinguni


Switch
Whoozu
Yeeza man yeezaya
Put the fire upon dem

Lord have mercy
It's 2kizzy baby
Whoozu man
Mbinguni man
Deali
Naona kisa kujuana
Umezidisha sifa mpaka umenyoa vibaya
Style za singeli nacheza nyimbo za choir
Umeninyima lifti Uncle una roho mbaya
Ukivua viatu mguu kama ume expire
Yeah
Cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
Unawaza urithi mshua kapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Ila ukweli ndio (Huooo)
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni (ye ye ye ye)
Huendi mbinguni (ye ye ye ye)
Huendi mbinguni
Ndo ushafelii ehh (huendi mbinguni)
Huo ndoukweli eeh (huendi mbinguni)
Ndo ushafelii (huendi mbinguni)
Huo ndo ukwelii
Ahh
Ati unakula bia, na kwenu haujajenga
Achanga urwambi urwambi una culture pewa
Posa haijafika unamsnitchi mshenga
Shepu sio yako, ume edit pic (aiyee iyaya)
Mtumishi unasinzia ibadani
Unatia uwongo mpaka msibani
Nikiwa serious unafanya utani
Unanibeep alafu haupatikani (yeah)
Cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
Unawadhaurizi mchuna ukapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Ila ukweli ndio (huooo)
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni (ye ye ye ye)
Huendi mbinguni (ye ye ye ye)
Huendi mbinguni
Ndo ushafelii ehh (huendi mbinguni)
Huo ndoukweli eeh (huendi mbinguni)
Ndo ushafelii (huendi mbinguni)
Huo ndo ukwelii
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
It's 2kizzy baby

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar