Ohuooo ohuooo(Wanene) Ohooo (Chin Bees) Eeeh niko radhi nichizikee niko radhi nichizike Kwako nifike kwako nifikeee We kwangu ni real we kwangu ni real spare Siwezi kucheat oohuoou siwezi kucheat Niko chini ya ulinzi niko chini ya ulinzi eeh We nimaliziee we nimalizeeee We kwangu ni real we kwangu ni real spare Siwezi kucheat ooohuoou My baby baby tunda langu baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily My baby baby tunda langu baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily Eeh dawa dawa mammy nipe dawa Kwako mgonjwa mahututi please nipe dawa Kwangu we ndio sawa unanipa power Namuomba Mungu akulinde mpaka mwisho wambwae mwisho wambwae Saresare kama kwaya Tuwafanye ubaya wenye roho zao mbaya Kama ubaya ubaya wacha wakuone mbaya Lengo lao tuwe chini yao chini yao My baby baby tunda langu baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily My baby baby tunda langu baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily...