Kishore Kumar Hits

Chin Bees - Ball şarkı sözleri

Sanatçı: Chin Bees

albüm: Ball


Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Wacha waogee
Jibaba bado nasakanya pay
Bado hawawezi stay ninapo stay
Kama ball player vile ninavyo play
Nabado mchezoni sichezi fair na bado watoto nawakong'tea
Mikazo mwanzo mwisho oh yeaah
Mikazo mwanzo mwisho oh yeaaah
Nazidi saka chapaa
Kila kona kila docho la mtaa
Muda ni mali sipotezi saa
Muda ni mali sipotezi saa aaaaaaah
Bado nacheck midaa
Kila kona kila docho la mtaa
Muda ni mali sipotezi saa
Muda ni mali sipotezi saa aaaaaah
Naongeza bidiii
Kwenye paay
Nifaidi hustle aayyeee
Naongeza bidiii kwenye paaay nifaidiii hustle aayyeee
Watake wasitake mi nado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Watake wasitake mi nado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall mungu kabari hakuna atakae sema no
Kama mafuriko nilivyoaza flow
Kila kukicha jibaba na score
Nawakimbiza mchaka mpaka wanaa bloo
Bees kiraka wa kila mchezo
Haina kufail na haina ku fall
Hainaa kufail na haina kufaaall
Haina kufail na haina kufaaaall
Haina kufail na aina kufaaaall
Naongeza bidii kwenye paay
Nifaidii hustle aayye
Naongeza bidiii kwenye paaay
Nifaidii hustle aayyee
Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall
Watake wasitake mi bado na ball
Wanataka nianguke ila bado na go
Nasaka pay mpaka siku na fall
Nasaka pay mpaka siku na fall

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar