Mmmm Paradise Music Lody Music on this one SMG Usije jidanganya ukampa moyo Atauchezea Hakuna amani minarudi kuketi Nishuhudie wenzangu Na nilijichanganya nikampa moyooo Nakosa amani moyo unakwenda lazy Nimekuja kugundua, Mapenzi bhana Hayana mana Hayana mana Hayana mana Nimekuja kugundua, mapenzi bhana Hayana mana Hayana mana Hayana mana Nimekuja kugundua, hayana mana Eh! Siku ya kwanza nayaona mapenzi yalinitia hasira Kumuona Samson anakatwa nywele na Delila Siwezi danganywa na nyoka Nile tunda hiyo never! Yani kama Adam alivyo danganywa na Ever Wanawake bwana, kuna muda sipatagi pocha Unaweza mpa moyo na kitandani akaitaji kichwa Mapenzi ni siri nzito ilo jificha hayana course wala shule NAKOSA AMANI MOYO UNAENDA LAZY NIMEKUJA KUGUNDUA, MAPENZI HAYANA HAYANA MANA HAYANA MANA HAYANA MANA NIMEKUJA KUGUNDUA, MAPENZI HAYANA HAYANA MANA HAYANA MANA HAYANA MANA NIMEKUJA KUGUNDUA, HAYANA MANA EH! SIKU YA KWANZA NAYA ONA MAPENZI YALINITIA ASIRA KUMUONA SAMSON ANAKATWA NYWELE NA DELILA SIWEZI DANGANYWA NA NYOKA NILE TUNDA HIYO NEVER YANI KAMA ADAM ALIVYO DANGANYWA NA EVER WANAWAKE BWANA, KUNA MUDA SIPATAGI POCHA UNAWEZA MPA MOYO NA KITANDANI AKAITAJI KICHWA MAPENZI N'SIRI NZITO ILO JIFICHA AYANA COURSE WALA SHULE