Kwa Mungu hakuna majungu Mi nina Mungu We endelea tu(Aaah, aah) We endelea tu Kwa Mungu hakuna majungu Mi nina Mungu We endelea tu(Aaah, aah) We endelea tu As you can see am ghetto and fabulous Hella zinafanya dunia inazunguka Let me handle this Sihitaji beats kutingisha kichwa chako Naflow tu kama nina beats za moyo wako Wakikuuliza naendelea aje Waambie vizuri zaidi ya jana Vizuri zaidi ya wao, Mungu ana manguvu sana Miluzi mingi na kubwa la mbwa sipotei Mipango ya miaka chungu nzima na dira hunitoi Yeah naitika nikijisikia, maisha usiyavalie kikoi Na sio lazima yakubali, kwani una yadai Subira haivuti bangi, haigongi nyagi Inavuta heri tu na haijawahi kubugi Kilienda kwa mganga na ka unavyoona kimerudi Hata kama hukipendi kukiheshimu inakubidi Mbuyu ulianza ka mchicha ila mchicha haujawahi kuwa mbuyu Sikiza waliofanikiwa, ongeza zako mbayu wayu Anayejifanya anakwamua, anakushika upigwe babu Mtie mitama, siku nyingine ashike adabu Kama message sipendi, basi namshoot mpaka messenger (Basi namshoot mpaka messenger) We endelea tu Kwa Mungu hakuna majungu Mi nina Mungu We endelea tu(Aaah, aah) We endelea tu Kwa Mungu hakuna majungu Mi nina Mungu We endelea tu(Aaah, aah) We endelea tu Kiko ntawa, kishuwa au ki mtaa Nikucheza na namba namba ka mtu mbaya Salah Kiko ntawa, kishuwa au ki mtaa Nikucheza na namba namba ka mtu mbaya Salah Tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha Maisha yanabadilika, kausha nitakufundisha Pozi za kigoloko lazima zitakufelisha Amua mwenyewe, utazika utasafirisha? Hakuna kukupigia ngoma kukuambia kuwa umekua Miyeyusho majukumu, utakuja tukuombe dua Utaamka tu unajua kuwa wachawi pia wanafiwa Hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa Huh, ukiwa mkubwa utataka kuwa kama mimi Shati navaa la jana ila gari nimebadili Heshima yako ilienda wapi? Heshimu pesa baada ya dini Kwenu hakuna wakubwa wangekuwepo ungeniamini Mwanga simpi mtoto amlee, kwanza namkausha kizazi Kata sehemu za siri, zitupe mto Msimbazi Mi sio mgeni hapa, najua miili inapozikwa Na kitabu hapa najua nini kimeandikwa Ni rehema za Mungu tu na maamuzi yake tu Kashamuua, alicho amua si ni wake tu Kisasi hakita nitibu ila na we utakuwa umeumia So hata nisipo kwambia, hivi ndo navyo jiskia We endelea tu(Aaah, aah) We endelea tu(Aaah, aah) (Aaah, aah) We endelea tu We endelea tu