Kishore Kumar Hits

MwanaFA - Gwiji şarkı sözleri

Sanatçı: MwanaFA

albüm: Gwiji


Falsafa!
Aaah MwanaFA, mkoi
Omeking okanga mi
Wewe ni Gwiji wa magwiji
Asiyekubali aumbe Dunia yake
Lakini mimi Nyosh El Saadat
Nakuchukuliaga kama Mobutu Seseseko
Kuku mbendo wa zambanga lemahghshale
Bossomba sseskule never ende never loose
MwanaFA legend, legend, legend
Naota ndoto hazina rangi
Naamka nazipaka
Watoto wa kiswazi hawawezi kutwekea mipaka
Mungu ndo ametaka hiyo ungoka wa nyoko
Hakuna kiunzi hatuwezi ruka
Tushasukuma sana milango ila ndiko vuta
Niamini na ina funguka
Mbwa mkali usikatize, waoni tunapita
Tunavuka kwa kamba madaraja yalovunjika
Mungu wetu halali wala haendi likizo
Hatuachi kumuomba na anafuta matatizo
Yakija tena naomba tena na Mungu anayafuta tena
Mioyo yetu iko safi, safi ile kinoma
Kifo kiniue au maumivu yanikomaze
Yote sawa ila ujinga usinipumbaze
Kila kiumbe ana njia yake, moyo una tamaa zake
Mbwa mpumbavu ndo anaweza mbekea ndege
Waite wamwone gwiji wajigambe
Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe
Waite wamwone gwiji wajigambe
Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe
Mi ni hustler baby that's what I do, I hustle
Shida zikwepeki ziko kukupima muscle
Zikutoe macho, zikutoe jasho
Zikupe akili na zikwandae kwa kesho
Jikaze mwana, usichukuliwe mateka
Kama unaachana na ya dunia we enda uandike talaka
Ukiomba mafanikio fahamu yanakuja na wivu
Havitengani havikai mbali kidevu na ndevu
Dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo
Sio magumu kama kuclean clean kwa bio
Kaka money kupa moyo umegusa tu button sio
Kuwa mpambanaji kama binamu yangu swiyo
Huu si mziki wa mafala ni mziki wa ma-titan
Unakweka kitako unaketi unakufundisha
Unafeel the passion zaidi ya Telemundo
Mapunch mengi yatatoucha akizima mdundo
Bye bye
Waite wamwone gwiji wajigambe
Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe
Waite wamwone gwiji wajigambe
Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar