Kishore Kumar Hits

Roma Mkatoliki - Anaitwa Roma şarkı sözleri

Sanatçı: Roma Mkatoliki

albüm: Anaitwa Roma


Wamemchoza paa
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Wanauliza siku hizi Roma hauimbi za kiarakati
Uku wakisema umunio ndo kumbukumbu ilio baki
Ahaaa
Eheeee sasa amtaki
Mbona amkusapoti Mange na nyinyi mtakuwa wanafki
Yani sijui mlikwama wapi
Walivunja dole la mwisho
Wakaliacha dole la kati
Mhmmmmmmmm
Ehee hii si nchi ya demokras
Mkimaindi basi mnajua
Sasa mbona amuwakamati
Mhmmmmmm
Tuyaache ayo vipi korosho za mtwara
Maana wapiga kula wengi wakulima
Wafanya biashara
Kumnyima mpinza ajenda
Mtendee tu yalio mema sio kumpelekea difenda mtaani mtutie vilema
Machozi ya watanganyika ayata waacha
Salama na damu zilizo mwagika milele zitawaandama
Selikari imewapa nafasi wanawake
Pongezi zifike, najiona mwenye Bahati nikimtazama wanangu wa kike
Akikua atauliza wale walio mteka
Nani aliwatu
Jibuni mmemzaa mpale ila siwachukii wasukuma
Najua atanuna najua ya nyuma yatamtia huruma asilipe kisasi
Ashita kwa mungu ataipate suna
Na nikiitwa kwa MUNGU baba
Nikafa sijamuona mtoto mpeni
Shada la msaraba aliweke upande wangu wa kushoto
Na mtapo imariza ibada iwe ni padri au paroko
Nguo zangu azipigwi mnada mpeni akibino wa moroko
Mi ni soja nipo vitani nikipona au nikifa siraha nayo waachia maishani
Ibebeni mkomboe Taifa
Maana nchi yenu itaangamia
Viongozi awana maarifa awataki kukosolewa wanafanya Kazi kwa sifa
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Yuda usimualibie dani ili ufuraishe mtukufu
Sisi sote wanao kwanini unampenda sana Yusufu
Yakobo baba pesa madaraka umaarufu ona umewapatia vijana
Wanakosa hekima na utu
Wapunguzie vifungo wafungwa wasio na hatia
Wengine walifata mkumbo kiukweli hawakuwa na nia
Nasikia jimbo la ubungo kuna MTU amelipania
Roma hizi tungo ni zaidi ya waraka wa waebrania
Chama kilisha watimua wanasiasa mlio
Wanunua yaani mnapiga Bomu mochuali mnajisifu umeua
Tuliombee Taifa tuwaombee viingozi wetu
Nchi ina miba sio tuwavishe viatu walioko peku
Tusilete uchama kwenye ishu ya kitaifa
Uongozi ni kuacha alama chanya na kuwajibika
Kuteka kuuwana sio sifa ya mtanganyika
Ubora wa ndama ndio unalipa zizi uhakika
Hongela baba kwa ukusanyaji wa mapato
Kedekede ya kodina flyover ndio izo kanyaga twende
Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndege
Atafanya yote tumuombee na tuimbe YESU nibebe
Watu wametumbuliwa mwezi mmoja kabla ya kustaafu walimu wamesahauliwa
Mapato yao mapolisi mishaara yao bado tupige
Tafu hospital bolesha tupunguze idadi ya wafu
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Sijawai kiona mpiga kinanda akitoa sadaka
Kamera mani akianguka ndani ya kanisa kwa pepo kaka
Sadaka alali ni ile utaitoa kwa uchungu
Tafuta pesa we sikuizi ulijali sio ukubwa wa rungu
Na nyota mshale uwe bishop segera ukuki na kulenga tokea hale
Nenda kalete mamluki kaloge mambo Uko uku Roma anaiteka shoo
Kafara unamchinjia kuku mi namchinja anaechinja kondoo
Andaa shoo alafu mleteni mkali wenu tafuta
Venyu baada ya dakika mbili mje mzike maiti yenu
Eti unarap we unarap wewe unarap nini
Wanakubeba na auta amini siku wakikupiga chini
Sasa we kamatia chini mi nakamatia
Ndinga na ukikamatia mpini si utakamatia mimba
Alafu kizazi nakuacha unang'aza sharubu kula ganzi mi kisilani na gubu
Na elfu mbili na ishirini sisi tumuombe MUNGU
Wewe na Mimi na wote wasaka tonge watao rudi vitini
Watuepushe na hiki kikombe wasikilizishe yangu maoni
Mjengoni wasiishi kinyonge
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea
Anaitwa Roma
Akuna wa kumstopisha Roma
Nani wa kumnyamazisha Roma
Kazi kuongea umbea kesho yake ongea kesho kutwa wamepotea

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

K

2017 · single

Benzer Sanatçılar