Kishore Kumar Hits

Saint Evo - Karma şarkı sözleri

Sanatçı: Saint Evo

albüm: Karma


Binadamu hamna haya
Vikiandaliwa mwabandua
Binadamu hamna haya
Vikiandaliwa mwabandua
Binadamu hamna haya
Vikiandaliwa mwabandua
Mwala mkiacha mifupa bakulini
Walisema
Chovya chovya yamaliza buyu la asali
Jamani Jalali, aturehemu
Manake hata buruhani, yavurugwa
Jamani Jalali, aturehemu
Jamani Jalali, yavurugwa
Chovya chovya yamaliza buyu la asali
Lakini huyo, ywaramba mwiko
Mcheza na tope humrukia
Lila na fila hazitangamani
Chovya chovya yamaliza buyu la asali
So Honey what's your Karma?
You better watch out with the clatter
Or you'll get caught up in the splatter
So open up your crown chakra
So Honey what's your Karma?
You better watch out with the clatter
Or you'll get caught up in the splatter
So open up your crown chakra
Sahasrara, sahasrara, sahasraraaaa, sahasrara
Sahasrara, sahasrara, sahasrara
Sahasraraaa
Binadamu hamna haya
(Hebu muone yule, mwizi yule)
Vikiandaliwa mwabandua
(Salaala, kweli? Kidudumtu yule)
Binadamu hamna haya
(Aaa-ha, maneno yake ya urongo)
Vikiandaliwa mwabandua
(La kuvunda halina ubani)
Binadamu hamna haya (eh)
Vikiandaliwa mwabandua (eh)
Binadamu hamna haya (eh)
Vikiandaliwa mwabandua
Wapewa sahani lakini wabekua sinia
Binadamu hamna haya
Walisema
Chovya chovya yamaliza buyu la asali
(Eh)
Wapewa sahani lakini wabekua sinia
Binadamu hamna haya
Walisema
Chovya chovya yamaliza buyu la asali
Lakini huyo, ywaramba mwiko
Jamani Jalali, aturehemu (eh)
Lakini huyo, ywaramba mwiko
Jamani Jalali, aturehemu
So Honey what's your Karma?
You better watch out with the clatter
Or you'll get caught up in the splatter
So open up your crown chakraaaa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar