Kishore Kumar Hits

Jean-Emile Biayenda - Baba yangu şarkı sözleri

Sanatçı: Jean-Emile Biayenda

albüm: L'Afrique des Grands Lacs: Rondes, comptines et berceuses (Swahili, Lingala, Kikongo, Kimbunda)


Baba yangu,
Uliye mbinguni,
Naomba unigange moyo,
Uniponye afya yangu baba,
Na roho wako baba nijaze
(Ni kweli Bwana wewe ni mkuu)
Uweza wako ni wa ajabu,
(Matendo makuuu mimi nayaona)
Kwa kweli Bwana wewe ni mkuu
Sikufaa kuitwa mwanao
Ila ni kwa neema yako tuu
Roho yangu naiweka kwako,
Maisha yangu Bwana tawala
Mwili wangu nauweka kwako,
Uwe chombo kikutumikie,
Nimechoshwa na dunia hii,
Msaada wako nahitaji
Kwa kweli Bwana wewe ni Mkuu
(Ni kweli)
Kwa kweli Bwana wewe ni mkuu
(Nimejua)
Kwa kweli Bwana wewe ni Mkuu.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar