Kishore Kumar Hits

Nina Ogot - Mimi Na Wewe şarkı sözleri

Sanatçı: Nina Ogot

albüm: Yote Yote

Twende na wewe, milima na mabonde
Milima na mabonde, mimi na wewe
Twende na wewe, milima na mabonde
Milima na mabonde, mimi na wewe
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee

Nasema Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na wewee
Dunia duara, na maovu tushaona
Utamu wa maisha yaja tena kutuokoa
Dunia duara, na maovu tushaona
Utamu wa maisha yaja tena kutuokoa
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Nasema Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Tazama (tazama) Upepo (upepo)
Ukivuma ukitafuta upendo (upendo)
Popote (popote) Ulipo (ulipo)
Upendo wa kutafuta pande zote
Tazama (tazama) Upepo (upepo)
Ukivuma ukitafuta upendo (upendo)
Popote (popote) Ulipo (ulipo)
Upendo wa kutafuta pande zote
Naomba Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Njoo kwangu mapenzi baharini
Yakukuficha mpenzi wangu sijatambua
Njoo kwangu mapenzi bahari dada
Yakukuficha mpenzi wangu sijatambua
Niko kwako najihusulu moyo
Wewe ni kama dawa ya mapenzi, niponye
Nina kuugua dada
Kwako sitoki hadi mwisho
Ona sasa tungali tuko
Ona twa tabasamu ooo kwa upendo
Japo milima, milima na mabonde dada
Kwako sitoweza tena kuondoka
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Nasema Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Ooo Mimi na wewe, mimi na wewe
Mimi na wewe, mimi na wewe, mimi na weweee
Mimi na wewe, mimi na wewe
Mimi na wewe, mimi na weweee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar