Nna wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) Wafanya kazi sio ngekewa (wanangu toka day one, day one) Hawa wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) We wanao wanaelewa (wanangu toka day one, day one) Wanao wanawaza kuball, wanangu wanawaza kudraw Wanangu wanaweza nyuka pamba ila sio za kariakoo Wanao matozi japo usiku wanakabana makoo Wanao hawalipi show, pesa zimeshikana na roho Na siwezi tena kuslow, nna pesa nyingi to go Ndo maana nlifanya vitu vingi sabu I needed to grow Unavyoniona leo si nilivyokuaga before Hata maendeleo ukiniona utanipa shikamoo Wanao wanataka kua friends, and do what? Ina maana tuache kutafuta change and do that Wanangu hawana piece au chembe ya negativity Ukifanya kazi kali wanapush, ni flexibility Rap imekua facility, kusifia wenye ability zao Wanangu usije fananisha na wao Huo uchafu hatuutaki, He's back ka Tupac Na yuko na full pack, so bring that shit back Nna wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) Wafanya kazi sio ngekewa (wanangu toka day one, day one) Hawa wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) We wanao wanaelewa (wanangu toka day one, day one) Ahh yeah Ever since dayone am killin' these rappers mwanangu sinabudi Ahh yeah Me and my niggaz ahead of our time they like lini mtarudi? Ahh damn Jikute unadinda wanangu mbwa mwitu they will die for the pack Afu na bega moja limepinda mwanangu i carry the city on my back Cause I'm always with my gang gang gang Hata choka mbaya, never tire Tumekuwa kwa dona sembe mbe mbe Ukiingia vibaya tu ni bang bang bang Ukiwagusa umenigusa its all the same damn thing Cheki, nalenga sikwepeshi All bout the money kama jina langu petti Fundisha tu hawa rappers kama vipi ntoe vyeti Maana Kila bar tusi afu staji hata nyeti Demu wako ananichek she be like Dwin how u duin ahh freshh Skuizi mbona resi Maan Kila verse unayotoa tu ni kesi Ukifika mjini me and my girls tutakufanyia wepesi (Like ahh damn) Basi navunga Me na machzii tunasaka tu mabunda Wanangu namaujanja kama vile tu sungura Utawakuta wanakula mijani afu sio michunga (Ahh daaaamn) They like Who dat? Its the kid's time ka ulikuwa hujui muda For a couple cents wanako wanageuka yuda Wanangu ni wanyama tunawaza tufungue mbuga Nna wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) Wafanya kazi sio ngekewa (wanangu toka day one, day one) Hawa wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one) We wanao wanaelewa (wanangu toka day one, day one)