Skiza wanachosema mashabiki (yah) Niko mmoja Africa Mashariki (yah) Ila eti una flow kama Nikki (yah) Vipi utatoboa bila kiki (yah) Wachache wanaamini sina dhiki Ndo maana nachagua marafiki Ila usijifanye kua hushkiki Wana wanakujua kabla hujaanza mziki, yeah Technique nawacontrol ndo sababu hua sifananishwi na mabishoo Wanajiitaga making wanajua ni King Kong Maana wanawake zao mi ndo niko ringtone You can check my skin tone, niko black so they hate on me Saivi wenye hela zao ndo wanabet on me Hii ligi la la liga fanya double check on me And all these niggas never had faith me So nafanya kama ABC Weka amani na mabros na before go pranking me You can never put a break on me And I'm going to the riches while you other niggas RIP Kama RC, haijalishi unasali au unaswali, msikiti ama RC, Nawaguarantee, nikishoot nimeshoot na hakuna Kung Fu wala karate