(Kong) Anapenda anape anapenda Akipenda akipe akipenda Utape utape utapenda Mi nampe mi nampe Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa Naleta burger nipate mahaba Au nije na Benz kama switcher baba Usione vinang'aa vingine shaba Najiuliza hivi ana roho saba Nishauza mechi bila rubber Kesho nikarudi na pochi la Prada Anaonekana bila mshumaa Na wakimuona watu wanaduwaa (yeah) Usipende maisha ambavyo huwezi Kama kuiga wanyamwezi Maisha flani kama mbezi Michezo flani mi sichezi Huwezi kumpata kindezi Utaona anaringa kishenzi Ila ntamfanya awe mine yeah She know that i'm number one yeah Anapenda anape anapenda Akipenda akipe akipenda Utape utape utapenda Mi nampe mi nampe Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa Anapenda fame anapenda pesa Anapenda game, anapenda kutesa Huyu demu mi nampenda ila (aah) hani (rrrh) Mi nampenda Moyo unapenda, vitendo vyatenda Umevuka mipaka umekwenda umekwenda Sasa nikuache uende mwanakwenda Umenilegeza laini kama mlenda Kubwa kubwa kubwa la mapretender Unaninyonya damu kisha zako unaenda Wapi unakwenda rudi hapa baki nami nakupenda Penda penda Anapenda anape anapenda Akipenda akipe akipenda Utape utape utapenda Mi nampe mi nampe Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa Kumbe anapenda pesaaa (mi nampenda ye) Mi jamani ananitesaaa (mi simtesi ye) Usiku kucha mi nakeshaaa (mawazo kwake ye) Mama ananipa preshaaa