Stay on it Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah Stay on it Ila nnachotaka sema i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah Nataka kuona glass juu Weka mission sio unafanya basi tu Ladies wanapendelea what we do Sema suu amma take you back to school Wake up in the morning na nna ndoto kama saba Hawafikii malengo sababu wamekosa shabaha Wauni kwenye kutafuta dow wanakaba Nani atalisha madogo, mama, dada Najaribu kupata picha nimekaa nyuma kabisa, na hizi story zinatisha, Wengine wako ndani kwa pesa ya kutakatisha, Ila siku tutafanikisha, maboya tutawakalisha, na bado tunahamasisha I'mma stay on it Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah Stay on it Ila nnachotaka sema i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah I stay on it kama popo yaani kinoko yani Nacruise kwenye mkoko yani Mashavu tushayavuta kuja local man Ni full kijani na aliyesimama mmoko man, yeah Tukikupita kwa jam usiulize Tulifanya wapate nidhamu kwa huu ubize Na sio hata lazima utuskiize Tunapokutoa lazima tusistize Washkaji niliowapaga nafasi Washatoboa tuko hapa tunagonga glass We never really talk about the class Kwa maana wasiotupenda watanuna mpaka basi So I gotta stay on it Stay on it Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah Stay on it Ila nnachotaka sema i'mma stay on it Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah