Sijui kiasi gani unanifeel me Unanipa mawazo babygirl you gon kill me Unaponiona unatazama chini, Sitaki kukukosa so nisikize haya madini I know unakomoa, nishapiga simu kama mara hamsini Basi sema kama unanifeel me, sitaki kua na Sitaki uingie mitini Ka unataka cash, mami nimepaki Benz out Nipe utamu wa asali sio uchachu wa chenza Kama ukiwa mine, I can make your life better Kaa mbali na wao kabla hawajaanza kukukera U know kwanini nataka favour Na mi siboi utapata kila flavor Mabishoo watakudanganyia fedha You go slow na machizi wa bongo fleva, Sijui kiasi gani unanifeel me Unanipa mawazo babygirl you gon kill me Unaponiona unatazama chini, Sitaki kukukosa so nisikize haya madini I know unakomoa, nishapiga simu kama mara hamsini Basi sema kama unanifeel me, sitaki kua na Sitaki uingie mitini Amma be your husband You can be the wife Wa mwandani right Nikumbatie all night Promise we wa mimi hata tukifight Kugombana nini ukitaka nibite Okay, okay okay I do, I do I got a baby ila ni mbishi she can be my boo Hajapata loving this biggie Anakimbia ka digidigi Ndo maana sitaki aniahidi Muulize mama shahidi I want her, back to back, infact she's too much Her booty ka la Sanchi i'm tempted to touch Don't know what I should do, so I can get all Nataka aje huku, we can do some more Sijui kiasi gani unanifeel me Unanipa mawazo babygirl you gon kill me Unaponiona unatazama chini, Sitaki kukukosa so nisikize haya madini I know unakomoa, nishapiga simu kama mara hamsini Basi sema kama unanifeel me, sitaki kua na Sitaki uingie mitini