Round hii utajua hajui Hatuweki mafala hawa Pesa nitakula Na sitaleta kura, heh Wakifunga nyumba Ulikua runda, weh Hatuweki mafala hawa Haujali bout me Naskia unabenki Maldives Kijinyumba kinacheki palm trees Ikinuka utaruka kambi Sina karo, sina food, sina kodi Na nina bibi aii, kuna Covid Miss me na story za BBI Wanasema tunavuta bangi Lakini cheki zinashika nani Wananchi wanawika haki Huku tender zikipita kati Sitakuvotia weh Ka ukabila ndio policy Kama beer ndio policy Ka kamia ndio policy Sitakuvotia weh Ka ukabila ndio policy Kama beer ndio policy Ka kamia ndio policy Hatuweki mafala hawa So, pesa nitakula Sitaleta kura heh Nikishindwa na rent Ulikua karen, yea Hatuweki mafala hawa Hawajali bout you Naskia wanamali offshores Mandege na mameli lord knows Wakidedi watasare all those Magazeti walihonga of course Kwenye teli ni githeri man Someone tell me where we heading man Wanasema tunavuta bangi Lakini cheki zinashika nani Wananchi wanawika haki Huku tender zikipita kati Sitakuvotia weh Ka ukabila ndio policy Kama beer ndio policy Ka kamia ndio policy Sitakuvotia weh Ka ukabila ndio policy Kama beer ndio policy Ka kamia ndio policy Hatuweki mafala hawa Round hii utajua hajui