Pete nilinunua
Suti nikakopeshwa
Windsor nikakupeleka
Wimbo nikatolesha
Mpenzi kukuonyesha
Jinsi umeniweza
Laiti ningeelezwa
Binti huyu pretender
Ooh hoo hoo
Ooh hoo hoo
Umebadilika
Ooh hoo hoo
Ooh hoo hoo
Umebadilika
Moyo nilikupa
Funguo ukapoteza
Kimziki ukanicheza
Mafisi wakanicheka
Rafiki huyu wa pesa
Kwa dhiki alitoweka
Hafikiki hali mteja
Haitiki kama si fedha
Kwa kijiji wanamsema
Ooh hoo hoo
Ooh hoo hoo
Umebadilika
Ooh hoo hoo
Ooh hoo hoo
Umebadilika
Natumahi unafuraha saa hii
Na ulipata kweli
Kile ulikosa kwangu
Natumahi unafuraha saa hii
Na ulipata kweli
Kile ulikosa kwangu
Natumahi unafuraha saa hii
Na ulipata kweli
Kile ulikosa kwangu
Nimekuachilia yea
Nimekuachilia
Nimekuachilia yea
Nimekuachilia
Nimekuachilia yea
Nimekuachilia
Nimekuachilia yea
Nimekuachilia
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri