Kishore Kumar Hits

Flier - Ex Wako Hawezi şarkı sözleri

Sanatçı: Flier

albüm: Ex Wako Hawezi


Ukiacha kuni avoid
Nitakupeleka Toi na Wadhi
Nikushikie bale ya ma Camera
Waithira, Ex wako hawezi
Fanya ka
Fanya ka mi
Hawezi fanya
Fanya ka
Fanya ka mi
Ex wako hawezi
Kuja niku employ
Nataka kukupa joy
Vile inafaa
Nina Nail and Spa
Na sina Manager
Tubonge salary
Kisha dowry hii wikendi
Sichezi
Ex wako hawezi
Fanya ka
Fanya ka mi
Hawezi fanya
Fanya ka
Fanya ka mi
Ex wako hawezi
Nitakushikia bundles
(Bundles)
Nitakulipia fuliza skiza
Twapoteza masaa
Fanya vile yafaa
(Inafaa)
(Inafaa)
(Inafaa)
(Inafaa)
Nifanye baba wa kambo
Watoto wako nitalea, swear
Najua waniombea
Fanya vile yafaa
(Inafaa)
(Inafaa)
(Inafaa)
(Inafaa)
Fanya ka
Fanya ka mi
Hawezi fanya
Fanya ka
Fanya ka mi
Ex wako hawezi
Fanya ka
Fanya ka mi
Hawezi fanya
Fanya ka
Fanya ka mi
Ex wako hawezi
Lugha kama hii
Swag kama hii
Luku kama hii
Nafanya ikae rahisi
Nafanya ikae rahisi
Nafanya ikae rahisi
Kila time nilipiga
Ulikua busy
Ati mikutano kwa ofisi
Ulijua nimekuchuzi
Ukanichukua hivi hivi
Time ikapita nikacheki CV
Ni wengi umewashawishi
Nilidhani tunakitu fiti
Ukweli ukawasha swichi
Nilisema nimepata bibi
Sasa mama nitamwabia nini
Ulisema wanipenda mimi
Mbona tena kanitenda hivi
Waithira, hii si ni unfair
Ex wako anicheki mi saa hii
Like nilikuambia
Saa angalia
Ma tick ziliturn blue
Still not a peep from you
I think na kreki
Juu see lately
I keep thinking of you
Oh it's cold in my Benz
Bila weh my mpenz
Nilidai kuwa more than friends
But haukua plans
Za kuji commit as my boo
Saa ticks zimeturn blue
Je ni makosa
Niki post stuff like
I'm thinking of you

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar