Kishore Kumar Hits

Flier - Sambaratika şarkı sözleri

Sanatçı: Flier

albüm: Sambaratika


Polisi ni wa tajiri
Sheria ni ya maskini
Ushuru ni ya mafia
Uhuru ni ya PR
Shahada hizo karatasi
Elimu nayo maridadi
Kenya hii hakuna kazi
Walishapea mashangazi
Manabii walitabiri
Wengi wakuamini
System ni ya majambazi
Sasa tunajuta
Shahadah hizo hazitoshi
Elimu siku hizi pochi
Kenya hii hakuna haki
Walishapea mali mali
Toa jam, toa jam
Mheshimiwa yuko nyuma huyo anacome
Wananchi wamefunga njia kama slum
Saa ving'ora zinalia kama ambulance
Walimeza evidence
Mashahidi waka change ma statement
Wengine saa ni past tense
Familia wanalia kuna foul play
Katiba hio hawafuati
Buda kama huna ganji
Kenya hii hakuna haki
Walishapea mali mali
Oh, yea
Bwana anakuona
Mpaka moyoni mwako
Bwana anakuona
Mpaka moyoni mwako
Bwana anakuona
Mpaka moyoni mwako
Bwana anakuona
Mpaka moyoni mwako

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar