Kishore Kumar Hits

Flier - UCHUMI NI MBAYA şarkı sözleri

Sanatçı: Flier

albüm: UCHUMI NI MBAYA


Jana hukudai riba
Leo unaimba vile nakumada
Mwezi umefika kwa kona
Unaniona mi ni danda
Stima imeanza ku beep
Sasa ana ni beep
New phone who dis?
Naskia
Gesi imekauka
Na unga imepanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya
Je, wapi wale wote ulikimbilia
Vitu vikiniendea mbaya, weh
Kama hunge ni ringia
Ningekuwa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Sema vile umenimisi
Jinsi unanihisi tena nifurahi
Nimetuma zile za pikipiki
Si uje tule mbuzi na viazi karai
Eti wataka nije nikaku pick
Umejipodoa fit na vumbi haikufai
Huskii
Petroli ilikauka
Na Uber zikapanda bei
Bae, kwani haujui
Hali ya uchumi
Uchumi ni mbaya, weh
Kama si kiburi chako
Ningekupa nawe
Uliza benki ya dunia
Vile raia waumia, hukuskia
Gharama kubwa za maisha
Zimefilisisha wapenzi na waseja
Wanalalamika nje
Uchumi ni mbaya
Wueh
Uchumi ni mbaya
Woishe
Usijiskie vibaya
Mpenzi
Twapitia haya sote
Taarifa ambazo sasa zimetufikia
Wanandoa wapigana kama mabondia
Pesa kukosekana kweli ni hatia
Wangapi kila siku wanakatisiana
Juu ya uchumi mbaya

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar