Hehe he Cedo
Ona wamefanikiwa kututenganisha mimi na wewe!
♪
Yote ulioambiwa yamekupotosha mpaka sasa hunipendi
Jua langu limepotea naona giza ingawa mchana
Ukiwa mbali sijazoea my sweetie Stella mum nataka urudi home
Mapenzi ya kolekolela nimechorea nipe chance nirudi kwako
Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee
Nifungulie roho
Moyoni mwako eee nifungulie roho
♪
Mbona hukutosheka kila ulipewa ulisema ni kidogo
♪
Mwelakevyo lhhhye
Ndo maana sielewi you are leaving me alone
Nimejaribu kukuelezeaaa
Kile unasema nasema tu uwongo
...naomba tuongee sasa my sweetie Stella mum nataka urudi home
♪
Mapenzi ya kolekolela nimechorea nipe chance nirudi kwako
Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee nifungulie roho
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee
Moyoni mwako eee nifungulie roho
♪
Moyoni mwako eee nifungulie roho
Moyoni mwako eee mikononi wako eee moyoni mwako eee nifungulie roho
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri