Kishore Kumar Hits

Big Fizzo - Niko Sawa şarkı sözleri

Sanatçı: Big Fizzo

albüm: Fizzology


Sawa sawa (eh)
Yup, Fizzo baby (sawa sawa)
Pastor P on the beat (sawa sawa)
Fresh niko sawa
(Sawa sawa sasa sawa sawa sa sa sawa)
Laaaaa
Maisha ni ya mungu (yes)
Niache Nile vyangu (yes)
Ni jasho yangu (yes)
Mbona mnapiga majungu (alee)
Kanipa mungu (yes)
Riziki yangu (yes)
Matunda ya kazi zangu (yes)
Achana na maisha yangu (yes)
Mara fizzo kalewa (yes), tunashindwa mtambua (yes).
Nani kalinunulia? (yes)
Kama nalewa pesa yangu (alee)
Fizzo akalewa (yes)
Atapagawa (yes)
Nyi' ndo mtachachawa (yes)
Me niko sawa na life yangu (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Wewe uko sawa (sawa)
Yule iko sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Mifuko iki sawa (sawa)
Mademu wako sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (fresh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa
Alichopanga mungu
Mwanadamu hawezi pangua (yes)
Mabadiliko yangu
Yalifanya wengi wasiwe sawa (yes)
Alichopanga mungu
Mwanadamu hawezi pangua
Hata mkikesha
Riziki yangu hamtoiziwia
Mara fizzo kalewa (yes), tunashindwa mtambua (yes).
Nani kalinunulia? (yes)
Kama nalewa pesa yangu (alee)
Fizzo akalewa (yes)
Atapagawa (yes)
Nyi' ndo mtachachawa (yes)
Me niko sawa na life yangu (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Wewe uko sawa (sawa)
Yule iko sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Mifuko iki sawa (sawa)
Mademu wako sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (fresh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa
Asante Mola (sawa)
Me nakula (sawa)
Asante Mola (sawa)
Me nalala (sawa)
Asante Mola (sawa)
Me nakula (sawa)
Asante Mola (sawa)
Kwa afya bora (sawa)
Mara fizzo kalewa (yes), tunashindwa mtambua (yes).
Nani kalinunulia? (yes)
Kama nalewa pesa yangu (alee)
Fizzo akalewa (yes)
Atapagawa (yes)
Nyi' ndo mtachachawa (yes)
Me niko sawa na life yangu (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Wewe uko sawa (sawa)
Yule iko sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Mimi niko sawa (sawa)
Mifuko iki sawa (sawa)
Mademu wako sawa (sawa)
Sawa sawa (alee)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (eh)
Sawa sawa (fresh)
Sa sa sa sawa (eh)
Sasasa sawa sawa (eh)
Sa sa sa sawa (eh)
Sawa sawa (fresh)
Mnaongea kwenye mitandao
Mambo ya n'importe quoi (sawa)
Endeleeni kuongea!
Me niko sawa (alee)
Sawa na maisha yangu
Sawa na fans wangu (laa)
Baswahili (baloshi)
Baswahili (baloshi)
Mchana kweupe (hehe)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar