Kishore Kumar Hits

Linex - Kesho Yangu şarkı sözleri

Sanatçı: Linex

albüm: Dunia Nyingine


Niliangamiaaa
Kwakukosa maarifa.
Hofu ya Mungu tena.
Nikaweka kando.
Sikuogopa hata kufaaa
Aaaaah...!...
Nyota ya umaarufu ikafifia
Ikafa ndoto ya kuwa star coz maombi yangu hayajibiwi
Hata nifunge na kusali iiii
Nikajiona natembea pekeangu
Amenigeuzia shingoo. Oooh hata muumba wangu
Nilikata tamaaaaa
Nikajiona nipo kwenye msitu na sisikiii
Hata sauti za watu
Jitokeze tukuone, tukupe manung'uniko yetu
Siogopi leo naihofia kesho yangu
Mungu wangu ulie juu
Badirisha maisha yangu,
Nami nitembee nikilinga nikitamba.
Nikiwa nnauhakikawa maisha yangu
Mungu umekua msiri wangu
Miaka nenda rudii
Hata nikiwa uchi.
Huchoki kunisitiri
Kwani mimi ni nani unipe thamani ya juu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar