Dumba eeh Wale wanashindwa kwani tulifanyaje Dumba Wale Verse Eeh uyu omukhana na honey Simu zote mbona hupatikani Nimekua nikisaka money Juzi juzi nilifika 18 Nyani hupanda miti hadi mwili joh Yaani naifanya fiti hadi joh Vampire Kuna nduru magizani Mii hupenda maji za chupa ka dasani Verse Dumba Ushaamua Ex wangu alisema ataniua Sina money lakini im not poor Chafua luku juu najua nitafua Chorus Dumba Aah wale wanashindwa kwani tuulifanyaje (×2) Dumba Sisi tunashindwa tulifanyaje Dumba Ee sisi pia tunashindwa ati tulifanyaje Dumba Verse Sina deni nishalipa kaisari Si hufanya kazi wanawika si husari Nitafichua hadi kasiri ni kali Na hizi sides zetu salamu joh ni vibare Sina box ngeus ako inade Beat ya Mavo inachapa kama radi Hawana form kujieni tu uradi Hana ndom wanatumia magadi No need ya kuuliza si unajua tu ni nani (Si unajua tu ni nani) Yeah si unajua tu ni No need ya kuuliza si unajua tu ni nani (Si unajua tu ni nani) Yea si unajua tu nina Dumba Wale wanashindwa kwani tulifanyaje (×2) Dumba Sisi tunashindwa kwani tulifanyaje (×2) Verse Flow iko tight inaburn Flow inaflow kama tana (flow) Flow itabaki umeitana Flow inaburn inaburn kama burner Flow iko tight inaburn Flow inaflow kama tana Flow flow itabaki umeitana Flow inaburn inaburn kama burner Dumba Wale wanashindwa kwani tulifanyaje (×2) Dumba Sisi tunashindwa kwani tulifanyaje (×2)