Napendwa Remix Ouheee oooaaah ooh (Yeooh) (Mocco Genius) Nakupa salamu kwanza pole Ex Mi kwanza sahizi nanenepa Nilie nae kanitoa stress Nimesahau michoko ya nyuma nilipotoka Hivi bado analupost? Bwana wako analupost? Walionichamba wale mashoga zako, hivi wapo wale mashost? Namba zako nilikwishafuta nimezitafuta tu nikupe taarifa, Nimempata amenipata hodari mwenye kila sifa Juzi nimeona umepost picha insta Umezidi kongoroka Mifupa ilivyokutoka Utadhani umetapikwa na nyoka (Hook) Umekondeana (Polee, pole sana) Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana? Si tumependezana (Tumependezana) Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana (Yani rahaaa...) Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa (Ah! Hili chaka si chaka ning'oki) Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa (Mi nilisharulizanaa) (Alikiba) Eeh! Unakazi ya kushindia vijora Cream imekuharibu sura, We na bwana wako mmekutana wote hamna hela Serikali imekwisha sera Kumbe chakula cha masera Mie huku mwenzako penzi limechanganya mperampera ooh! Na niliforce maji kupanda mlima Napambana kuwasha kumbe unazima Nikaugua baridi na kutetema Yani maateso Ukawa unaringa kama umepima ah! Na pole dada sasa umechina Nimempata fundi sasa Ronaldo Delima Ni minesoo! Nilijua tu tusingefika mbali wewe na mimi Unapenda makuu ndomana hukujali kidogo cha mimi (Hook) Umekondeana (Polee, pole sana) Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana? Si tumependezana (Tumependezana) Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana (Yani rahaaa...) Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa (Ah! Hili chaka si chaka ning'oki) Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa Napendwaa napendwa (Ooh mama maa aayaa aah)