Eehhn Mopao Ndege kageuka bundi (JM) Oya wewe (on the track) Aaanhh (O righty) Mapenzi Mapenzi ya limtesa babu, Lakini bado aliweza survive Labda nikupe habari sasa umekua, mambo ya kutesana nayajua Hata utoke na danga (huja nikomoa) Hata utoke na baba yangu pia (huja nikomoa) Hata utoke na dangote (huja nikomoa) Hata ugeuke huwe cha wote (huja nikomoa) Yanini kupanangene eti niende kuroga Yani nforce unipende hatuja zaliwa pamoja Mapenzi mibase nyenge nkupaishe shoga Hauwezi kupanda embe lijekuota boga! (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) Mapenzi sio mchezo yanaumiza zaidi Inabidi uwe na pesa ili uyafaidi Ndio mana sishangai ex-wangu alinikataa Wengine hawali kisa penzi wanashinda njaa Mapenzi mapenzi mchezo utaniuwa bure Bora niwe single, nisijefanywa mimsukule Leo yupo kwangu kesho kwa Juma hona Maana siawezi mapenzi yanauma (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) Anatumika yuko busy, achana nae! Anadanganya anacheat temana nae, maana mapenzi ukaidi Wenye pesa ndio wanafaidi, Oh! Wadada wa mjini sikuizi wanapenda pesa,kama hauna wata kupelekesha Ndio mana nachuna naona bora kuvesha Kama ufundi kakapeleka veta! (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani kuachana shingapi?) (Kuachana bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) (Kwani Kuachana shingapi wewe?) (Kuachwa bei gani?) Here I am baba, I'm London boy Is D VOICE genie Kwani kuachana shingapi