Kishore Kumar Hits

Bonny Mwaitege - Njoo Uombewe şarkı sözleri

Sanatçı: Bonny Mwaitege

albüm: Njoo Uombewe


Njoo x4, Njoo, kaka, njoo mama, Njoo baba
Njoo Sehemu nyingi umezunguka
Kwa Yesu sasa Njoo
Tatizo lako umezunguka nalo sana
Sehemu nyingi umezunguka kwa Yesu sasa njooo... Njoo mama
Njoo ufanyiwe maombi(njoo uombewee)njoo ufanyiwe maombezi mama. Njoo ufanyiwe maombi, (kwa jina La Yesu Kristo) Njoo ufanyiwe maombezi baba
Ukiombewa... tatizo lakoo nidogoo... Ni doogo Sana x2 nidogo hilo, Dogo Ukiombewa Tatizo lakoo Ni dogoo, Ni dooogo Ukiombewa Tatizo lakoo Ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi, Njoo ufanyiwe maombezi baba,
Nazunguka mitaani, natangaza Yesu Ni bwana
Kwa wagongnjwa mbalimbaali, nawambia Yesu anawezaa, nawewe unae nisikia Aaaah...
Nasema Yesu nimemsibitisha, nawewe unae nisikia Leo,
Nasema Yesu Nina uhakika nae...
Njoo ufanyiwe maombi... huu Ndio ushauri wangu kwako
Njoo ufanyiwe maombii, wenye Tatizo Kama lako wengi walishafunguliwa Njoo ufanyiwe maombi, huu Ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu weeewe
Njoo ufanyiwe maombi (njooo umbewee) Njoo ufanyiwe maombezi kaka(wengi wameombewa) Njoo ufanyiwe maombii (kwa jina La Yesu Kristo)Njoo ufanyiwe maombezi dada (usiteseke buree)Ukiombewa, tatizo lakoo ni dogo (oooooho) Ukiombewa Tatizo lakoo ni dogo hilo (hallelujah) Ukiombewa Tatizo lakoo ni dogoo (eeeehe)ukiombewa Tatizo lakoo ni dogoo hilo, Njoo ufanyiwe maombii, (Njoo umbewee) Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu wee, (hallelujah Eeh)
Yesu ni mwanaume... kati ya wanaume, Yesu ni mwanaume (heeeh)
Hiiiiili Tatizo La kupata ajiraa, limekuwa sugu kwako...
Vyeti unavyo, na sifa za kupata Kazi unazoo,
Lakini roho ya kukataliwa linakusumbuaa...
Mfanya biashara, unae nisikia...
Huwezikufanya chochote bila mungu (weeeetu)
Biashara yako ilete kwa mungu... Kwani yeye ndiye chanzo cha mafanikio, akuepushe na kina chuma ulete
Biashara yako iwe na mafanikio
Njoo ufanyiwe maoombi, huu Ndio ushauri wangu kwako Njoo x3, Njoo mama (weee)
Njoo ufanyiwe maombi (ndugu yangu weee) Njoo ufanyiwe maombezi mama (Njoo uombewe) Njoo ufanyiwe maombi (kwa jina La Yesu) Njoo ufanyiwe maombezi baba, (wengi wameombewa) Ukiombewa Tatizo lakoo ni dogo, (doogo Sana) Ukiombewa Tatizo lakoo ni Dogo hilo(kwa Yesu), uukiombewa tatizo lakoo ni dogoo (doogo) Ukiombewa Tatizo lakoo ni dogo hilo, Njoo ufanyiwe maombii,(kwa jina La Yesu Kristoo. bwana) Njoo ufanyiwe maombezi baba
Mwili mwako unahisi kuna vitu Vina tembea... madaktari hawalioni Tatizo, mwilini mwako unahisi kunavitu vinatembea, madaktari hawalioni Tatizo,
Tatizo hili linakuchanganya Sana poole, waganga hawaliwezi Tatizo hilo
Tatizo hili linakuchanganya mama Poole, wagangaa hawaliwezi Tatizo hilo,
Njoo ufanyiwe maombi wenye Tatizo Kama lako wengi walishafunguliwa, Njoo ufanyiwe maombii,
Huu Ndio ushauri wangu kwako, ndugu yangu (Eeeh)
Njoo ufanyiwe maombi (Njoo uombewe) Njoo ufanyiwe maombezi kaka, (wengi wameombewa) Njoo ufanyiwe maombii (kwa jina La Yesu Kristo) Njoo ufanyiwe maombezi dada (usiteseke bure), Ukiombewa Tatizo lako ni dogo, (Oooooh) Ukiombewa Tatizo lakoo ni Dogo hilo (hallelujah) Ukiombewa Tatizo lako ni dogo(eeeehe)ukiombewa Tatizo lakoo hilo, njoo ufanyiwe maombii (Njoo uombeewee) Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we! (hallelujah heeeeeh)
(End)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar